Loading...

Serikali yakanusha taarifa kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kuwepo nchini


Serikali imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii za kuwepo ugonjwa wa Ebola nchini zinazodai kuwa ugonjwa huo umeingia nchini kupitia nchi jirani ya Rwanda.

Serikali yakanusha taarifa kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kuwepo nchini Serikali yakanusha taarifa kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kuwepo nchini Reviewed by Zero Degree on 9/05/2017 11:47:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.