Loading...

Serikali yatangaza nafasi za kazi kwa walimu wa Shule za Msingi


Serikali imetoa tangazo la nafasi za kazi kwa walimu wa shule za msingi. Wanaokaribiswa ni wale waliohitimu mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti (IIIA) mwaka 2014/15. Lakini kwa wale ambao walihitimu mwaka huo na walituma barua za maombi hawatakiwi kutuma maombi tena. 

Kwa taarifa zaidi soma kwenye tangazo hlilo hapo chini:



Serikali yatangaza nafasi za kazi kwa walimu wa Shule za Msingi Serikali yatangaza nafasi za kazi kwa walimu wa Shule za Msingi Reviewed by Zero Degree on 9/20/2017 06:07:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.