Hizi ndio mechi ambazo Morata anatarajiwa kuzikosa
Kufuatia majeraha hayo, Morata ameondolewa kwenye kikosi cha timu yake ya taifa ya Spain kinachotarajiwa kushuka dimbani mara kadhaa siku chache ziajazo, na sasa Chelsea wanahofia kumkosa nyota huyo kwa zaidi ya mwezi mmoja na kuna uwezekano mkubwa wa kuikosa michezo zaidi ya sita, ukiwemo ule wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Roma.
Taarifa hiyo inadai Morata atakuwa nje ya dimba kwa takribani wiki nne au zaidi, kitu ambacho kinaonekana kuwa pigo kubwa kwa meneja wa Chelsea, Antonio Conte.
Michezo anayotarajiwa kuikosa ni; michezo miwili ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Roma, pia michezo kadhaa ya Ligi Kuu ikiwemo dhidi ya Crystal Palace, Watford, Everton na Bournemouth yote inayotegemewa kuchezwa mwezi huu.
Lakini, kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la soka la Uhsipania, Nyota huyo wa zamani wa Real Madrid amepata majeraha katika paja na hataweza kushiriki mechi za kimataifa za hivi karibuni.
Taarifa hiyo inadai Morata atakuwa nje ya dimba kwa takribani wiki nne au zaidi, kitu ambacho kinaonekana kuwa pigo kubwa kwa meneja wa Chelsea, Antonio Conte.
Michezo anayotarajiwa kuikosa ni; michezo miwili ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Roma, pia michezo kadhaa ya Ligi Kuu ikiwemo dhidi ya Crystal Palace, Watford, Everton na Bournemouth yote inayotegemewa kuchezwa mwezi huu.
Hizi ndio mechi ambazo Morata anatarajiwa kuzikosa
Reviewed by Zero Degree
on
10/03/2017 09:12:00 AM
Rating: