Mpinzani wa Kagame ashtakiwa kwa kuchochea uasi
Diane Rwigara |
Kwa mujibu wa taarifa ya BBC, Diane ameshtakiwa pamoja na mama yake Adeline Rwigara na dada yake Anne Rwigara.
Diane Rwigara alizuiwa kuwania urais wa mwezi Agosti nchini Rwanda.
Rais wa sasa Paul Kagame alishinda uchaguzi huo kwa asilimia 99, na kupelekea madai kuwa kuikuwa na udanganyifu madai yalipingwa na mamlaka ya nchi hiyo.
Taarifa hiyo inadai kwamba, Diane Rwigara pia ameshtakiwa kwa kubuni stakabadhi bandia.
Wachunguzi wanadai kuwa Bi Rwigara alivunja sheria za uchaguzi kwa kukusanya sahihi bandia kuunga mkono ugombeaji wake.
Haijulikani ni kitu gani kilichangia afunguliwe mashtaka ya kuchochea uasi.

Reviewed by Zero Degree
on
10/04/2017 01:22:00 PM
Rating: