Mlipuko wasababisha vifo vya watu wawili nchini China
Mlipuko huo umesbaabisha uharibifu wa mali ikiwemo nyumba na magari |
Mlipuko huo umesababisha vifo vya wawili na wengine wengi wakajeruhiwa.
Madirisha ya majengo yaliyo umbali wa hadi kilomita moja kutoka eneo la mlipuko yamepasuka.
Inakisiwa kuwa mitungi ya gesi ndiyo imesababisha mlipuko huo, japo polisi wanaendelea na uchunguzi.
Picha zilizotolewa zinaonyesha wafanyikazi wa mjego wakiondoa watu kutoka kwenye eneo la mlipuko ambapo majengo yameharibiwa na magari yamebondwa.
Ambulensi zimeonekana zikiondoa watu kutoka kwenye eneo la mlipuko hadi kwenye hospitali zilizo karibu.
Mji wa Ningbo unajulikana kwa viwanda vya kutengeneza magari.

Reviewed by Zero Degree
on
11/26/2017 05:18:00 PM
Rating: