Airtel yaagizwa kuwasilisha taarifa zake za Fedha za tangu mwaka 2000
BoT imezitaka taasisi hizo ama benki kueleza kama zimewahi kuendesha ama zinaendesha akaunti zinazohusiana na kampuni tajwa.
Aidha, taasisi zote ambazo zitakuwa zina akaunti za kampuni hiyo tajwa, zimetakiwa kuwasilisha jina la akaunti, namba ya akaunti, aina ya fedha zilizomo kwenye akaunti na kiwango cha mwisho kilichokuwemo kwenye akaunti hadi Disemba 27, 2017.
Taarifa za akaunti hizo zinazotakiwa kuwasilishwa ni kaunzia Januari 1, 2000 hadi Disemba 27, 2017.
Airtel yaagizwa kuwasilisha taarifa zake za Fedha za tangu mwaka 2000
Reviewed by Zero Degree
on
12/30/2017 12:07:00 PM
Rating: