Loading...

Benki Kuu yazifutia leseni benki tano


Benki kuu nchini Tanzania imefuta leseni za benki tano na kuziweka chini ya mrasimu.

Benki kuu ilisema benki hizo zinakumbwa na matatizo ya kifedha na ksema kuwa benki hizo kuendelea kuhudmu katika hali zilivyo sasa inaweza kuwa hatari kwa mifumo ya kifedha.

Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank Limited, Meru Community Bank Limited, na Kagera Farmers' Cooperative Bank Limited zote zimepoteza leseni zao.

Taarifa ya Benki Kuu:



Gazeti la The East African linasema kuwa wiki tatu zilizopita, Rais John Magufuli aliamrisha benki kuu kuchukua hatua dhidi ya benki zisizo na fedha za kutosha.
Benki Kuu yazifutia leseni benki tano Benki Kuu yazifutia leseni benki tano Reviewed by Zero Degree on 1/04/2018 02:44:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.