Loading...

Rais Magufuli amepokea barua kutoka kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni


Rais Magufuli amepokea barua kutoka kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni iliyowasilishwa na Mjumbe Maalum Sam Kutesa ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda.

Pamoja na kupokea barua hiyo, Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Kutesa kuhusu namna watakavyoimarisha na kukuza uhusiano katika maeneo mbalimbali.

Rais Magufuli amepokea barua kutoka kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni Rais Magufuli amepokea barua kutoka kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni Reviewed by Zero Degree on 1/04/2018 02:54:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.