Trump agoma kufungua ubalozi mpya wa Marekani nchini Uingereza
Waziri mkuu wa Uingereza bi Theresa May na mwenzake wa rais Donald Trump |
Ujumbe wa rais Trump aliochapisha katika ukurasa wake wa twitter |
Katika ujumbe wake kwa Twitter, rais huyo wa Marekani alisema yeye sio shabiki wa ubalozi huo mpya ambao unahamia kutoka Mayfair kuelekea mjini London akidai kuwa ulikuwa ''mpango mbaya''.
Downing Street ilikataa kutoa tamko kuhusu hatua hiyo ya rais Trump.
Muhariri wa BBC kaskazini mwa Marekani Jon Sopel alisema kuwa kuna uwezekano wa maandamano katika barabara za mji wa London iwapo angezuru.
Hatua hiyo ya ubalozi wa Marekani ilithibitishwa mnamo mwezi Oktoba 2008 wakati rais George W Bush alipokuwa mamlakani.
Hatahivyo rais Trump aliulaumu utawala wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Barrack Obama kwa kuuza eneo zuri la ubalozi huo kwa ''fedha chache''.
''Jumba la zamani la ubalozi huo liliuzwa kwa fedha chache na utawala wa rais Obama'', aliongezea.
Downing Street ilikataa kutoa tamko kuhusu hatua hiyo ya rais Trump.
Muhariri wa BBC kaskazini mwa Marekani Jon Sopel alisema kuwa kuna uwezekano wa maandamano katika barabara za mji wa London iwapo angezuru.
Hatua hiyo ya ubalozi wa Marekani ilithibitishwa mnamo mwezi Oktoba 2008 wakati rais George W Bush alipokuwa mamlakani.
Hatahivyo rais Trump aliulaumu utawala wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Barrack Obama kwa kuuza eneo zuri la ubalozi huo kwa ''fedha chache''.
Alisema kuwa jengo hilo jipya katika eneo la Vauxhall, kusini mwa London lilikuwa katika eneo baya, akiongezea. ''Walitaka mimi nilifungue rasmi-Hapana!''
Trump agoma kufungua ubalozi mpya wa Marekani nchini Uingereza
Reviewed by Zero Degree
on
1/12/2018 01:31:00 PM
Rating: