Loading...

Droo kamili ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho


Droo ya upangaji wa timu zitakazokuwa zinacheza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho imefanyika asubuhi ya leo katika makao makuu ya Azam Tv yaliyopo Tabata, Dar es Salaam.

Upangaji huo ulihusisha timu nane ambazo ziliingia hatua ya robo fainali ya mashindano hayo, timu hizo ni Yanga, Stand United, Azam FC, JKT Tanzania, Mtibwa Sugar, Singida United, Njombe Mji na Tanzania Prisons.

Baada ya droo kupangwa, timu zitakozokutana katika hatua hii ni hizi:
  • Singida United Vs Yanga
  • Tanzania Prisons Vs JKT Tanzania
  • Azam FC Vs Mtibwa Sugar
  • Stand United Vs Njombe Mji
Droo kamili ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Droo kamili ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Reviewed by Zero Degree on 3/02/2018 12:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.