Loading...

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya Posta


Rais John Magufuli amemteua Dkt. Edmund Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania(TPB). Dkt. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Letice Rutashobya ambae amemaliza muda wake.

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya Posta Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya Posta Reviewed by Zero Degree on 4/23/2018 11:40:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.