Loading...

Wambura akwama Kamati ya Rufaa na Maadili

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura
Kamati Ya Rufaa na Maadili Ya TFF baada ya kupitia rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo,Michael Richard Wambura imetupilia madai yake yote na adhabu yake itaendelea kama ilivyoamuliwa na Kamati ya Maadili ya TFF kwa kufungia kutojihusisha na soka maisha yake yote.

Mbali na hilo pia kamati hiyo ya rufaa imeshauri, Wambura afikishwe kwenye vyombo vya dola ili suala hilo liweze kushughulikiwa zaidi na wataalam
Wambura akwama Kamati ya Rufaa na Maadili Wambura akwama Kamati ya Rufaa na Maadili Reviewed by Zero Degree on 4/06/2018 01:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.