Gor Mahia yaifuata Everton Uingereza
Wachezaji wa Gor Mahia walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata jijini Nairobi wakiwa tayari kwa safari ya kuelekea England.
Gor Mahia ambao ni mabingwa wa SportPesa Super Cup wamepata nafasi hiyo ya kuwakabili Everton baada ya kuwafunga mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC jumla ya mabao 2 – 1 kwenye mchezo wa fainali ya michuano hiyo iliyopigwa Juni 10, 2018.
Kwa mujibu wa mtandao wao wa kijamii Gor Mahia itawavaa Everton Novemba 6, 2018 mchezo utakao kuwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari vya Kenya pamoja na mitandao ya YouTube na Facebook.
Gor Mahia yaifuata Everton Uingereza
Reviewed by Zero Degree
on
11/02/2018 11:58:00 AM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
11/02/2018 11:58:00 AM
Rating:

