Simu yenye uwezo wa kukunjwa kama waleti yazinduliwa rasmi China
Kampuni moja ya kiteknolojia yenye makao yake California Marekani imeweka rekodi kwa kuwa ya kwanza kuzindua simu ambayo inaweza kukunjwa.
Royole Corporations imezindua FlexiPai katika hafla ya kufana mjini Beijing China. Kampuni hiyo imeanza kuuza simu hiyo janja nchini China tarehe 31 ya mwezi Oktoba baada ya kuzinduliwa kwake.
Gharama yake inakadiriwa kuwa Yuan 8,999 (dola 1,290), RAM GB 6 Snapdragon 8-series. Hata hivyo Royole FlexPai huwenda ikaanza kupata ushindani baada ya Samsung nao kutarajia kutoa toleo lake jipya juma lijalo huku LG na Huawei nao wameripotiwa kufanya mageuzi makubwa ya simu janja za mkononi ‘Smartphone’. FlexPai imebezi zaidi katika simu aina ya ‘tablet-phone’ ina nchi 7.8 na features ratio 4:3.
This is the "world's first foldable screen phone" released by Rouyu Technology, which will use the Snapdragon 8150 processor, but its design is very rough, just to seize the "first", this is a futures product. pic.twitter.com/M0v9o2z0Bw— Ice universe (@UniverseIce) October 31, 2018
Simu yenye uwezo wa kukunjwa kama waleti yazinduliwa rasmi China
Reviewed by Zero Degree
on
11/02/2018 10:45:00 AM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
11/02/2018 10:45:00 AM
Rating:
