Loading...

TTCL watolea ufafanuzi taarifa kuhusu mpango wa kupunguza wafanyakazi 550


Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyonukuliwa na vyombo vya habari mbali mbali kuhusu mpango wa Shirika kupunguza wafanyakazi.

Jumanne Octoba 30, 2018 jijini Dodoma, Vyombo vya habari vilimnukuu Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Ndg. Omari Rashid Nundu akieleza mpango wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL kupunguza wafanyakazi ili kuongeza tija na ufanisi wa shirika.
  
Hapo chini ni taarifa rasmi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuhusu kusudio la kuwafuta kazi wafanyakazi 550, ili kuliunda upya shirika hilo:

TTCL watolea ufafanuzi taarifa kuhusu mpango wa kupunguza wafanyakazi 550 TTCL watolea ufafanuzi taarifa kuhusu mpango wa kupunguza wafanyakazi 550 Reviewed by Zero Degree on 11/01/2018 11:35:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.