Caballero aukubali mziki wa Kepa
“Jambo la kwanza na la muhimu, tunahitaji golikipa anayeweza kucheza vizuri na miguu yake,” Caballero aliiambia Goal. “Anafanya vizuri sana kwa hilo; anajiamini na anaweza kupiga pasi nzuri. Ndefu na fupi. Pamoja na hayo, ana maamuzi ya haraka, ana mikono mizuri na anafanya vizuri. Nilifikiri angaweza kuhitaji wiki kaadha na miezi kadhaa kwa sababu wakati mwingine kuizoea ligi Kuu ya Uingereza inaweza kuhitaji muda kidogo lakini kuanzia mchezo wa kwanza, amekuwa akifanya vizuri hakika.”
“Nafikiri kwamba mchezo wa soka umekuwa kama kichaa katika miaka mitatu au minne ya mwisho. Wakati tunapozungumzia kuhusu mchezaji kwa pesa ambayo imetumika, ndani ya soko hili, nafikiri kidogo ni ukichaa. Hatutakiwi kuzungumzia fedha, tunatakiwa kuzungumzia kuhusu uwezo wake na nafikiri kiwango chake kimekuwa kizuri sana.”

Kepa Arrazibalaga |
Magolikipa wengi wanakuja Ligi Kuu ya Uingereza na wanashindwa kumudu mikiki na kuweza kuendana na ligi hiyo. Hata hivyo, Kepa amefanya vizuri sana akiwa Chelsea na ana uwezo mkubwa wa kutumia miguu yake pia, ambalo ni hitaji muhimu sana kwa mfumo wa Sari.
Caballero aukubali mziki wa Kepa
Reviewed by Zero Degree
on
2/10/2019 07:35:00 AM
Rating: