Chelsea yakalia kuti kavu EPL, Sarri hatarini kutimuliwa
Maurizio Sarri alikuwa katika filamu ambayo watazamaji wa Chelsea hawajaiona, na kitendo cha mwisho hakikuisha vizuri kwa mkufunzi huyo wa Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge.
Sarri alikuwa kama mtu aliyekuwa anawandwa sawa na watangulizi wake kama vile Felipe Scholari na Adre Villas Boas alipokabiliwa na kichapo cha sita bila majibu mbele ya mikono ya Manchester City - ikiwa ni kipigo kikali tangu chelsea iliposhindwa 7 mtungi na klabu ya Nottingham Forest mnamo mwezi Aprili 1991.
Alikiri kuwa kazi yake huwa hatarini kila mara huku akisisitiza kuwa hajui iwapo yuko hatarini kwa sasa.
Klabu hiyo ya Sarri imefungwa magoli 10 bila jibu katika kipindi cha mechi mbili za ugenini, baada ya kupoteza 4-0 dhidi ya Bournemouth mnamo tarehe 30.
Chelsea iliojulikana kuwa na safu kali ya ulinzi iliufungwa magoli 4 katika kipindi cha pili dhidi ya kikosi cha Eddie Howe katika kipindi cha dakika 25 za kwanza.
Kufikia sasa wameshuka hadi nafasi ya sita katka ligi ya Uingereza wakiwa nyuma ya Manchester United kwa pointi moja ambayo iko katika nafasi ya nne baada ya kuwa mbewle ya mabingwa hao zamani kwa pointi 11 wakati Mourinho alipoondoka mwezi Disemba.

Sergio Aguero alikuwa shujaa wa kufunga hat-trick kwa mara nyengine tena huku akiisaidia Man City kurudi kileleni mwa ligi kwa kuicharaza Chelsea 6 bila jibu.
Ushindi huo wa Liverpool dhidi ya Bournemouth unamaanisha kwamba kikosi cha Pep Guardiola kilihitaji ushindi kurudi katika kilele cha jedwali licha ya kucheza mechi moja zaidi.
Na kazi yao ilionekana baada ya kuicharaza Chelsea mabao manne chini ya kipindi cha dakika 24 huku Chelsea ikiwachwa mdomo wazi katika kile kilichotajwa kuwa kichapo kibaya zaidi tangu walipopoteza 7-0 dhidi ya Nottingham Forest mnamo mwezi Aprili 1991.

Kichapo hicho kilianza baada ya dakika nne wakati Chelsea walipopatikana wamezubaa baada ya mkwaju wa adhabu wa Kevin De Bruyne uliomuacha Raheem Sterling akiwa pekee na kucheka na wavu kabla ya Aguero ambaye tayari alikua amekosa bao la wazi kumfunga kipa Kepa Arrizabalaga akiwa miguu 25.
Sergio Aguero afikia rekodi ya ligi ya Uingereza ya kufunga hat-trick 11 |
Aibu ya Chelsea iliendelea pale Ross Barkley alipopiga kichwa kilichomuangukia Aguero kabla ya raia huyo wa Argentina kufunga bao lake la pili. Baadaye Ilkay Gundogan alifunga bao la tatu.
Aguerro baadaye alikamilisha hat-trick yake ya 11 kupitia bao la penalti baada ya Cesar Azpilicueta kumchezea visivyo Raheem Sterling, ikiwa ni hat-trick yake ya 15 akiichezea City na kufikia rekodi ya hat-trick 11 katika ligi ya Uingereza heshima anayopewa pomoja naAlan Shearer.
Sterling baadaye alizidi kudunga msumari katika kidonda cha Chelsea alipofunga goli la sita kutoka maguu sita baada ya David Silva kutoa pasi iliopigwa na Oleksandr Zinchenko wingi ya kushoto.
Chelsea yakalia kuti kavu EPL, Sarri hatarini kutimuliwa
Reviewed by Zero Degree
on
2/11/2019 07:20:00 AM
Rating: