Lissu: Lazima tutofautishe kati ya serikali na taifa
Akizungumza kwenye mjadala juu ya uhuru wa kujieleza katika kituo cha kimataifa cha Sauti ya Amerika (VOA) ambapo ilishuhudia pia ushiriki wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi ambapo mbali na mambo mengi Lissu alihojiwa juu ya kuichafua Tanzania kupitia ziara yake anayoifanya.
Akihoji juu ya ziara yake nje ya nchi, Balozi wa Tanzania wa nchini Marekani amesema, “kitendo cha Lissu kuzunguka dunia nzima hakisaidii, BBC, Radio Ujerumani -DW, Sauti ya Amerika -VOA, sio mahakama, unachofanya ni kutuchafua na kutuvunjia heshima na kujichafua wewe mwenyewe”.
Akijibu madai hayo Mbunge wa Singida Mashariki juu ya kuichafua Tanzania Lissu amesema, “lazima tutofautishe kati ya serikali na taifa, serikali ya Magufuli sio taifa serikali inatakiwa kuongozwa na Katiba, na Katiba yetu imeweka wazi mipaka ya mamlaka sisi raia".

Reviewed by Zero Degree
on
2/07/2019 12:35:00 PM
Rating: