Uhamisho wa Fellain kwenda Shandong Luneng wakamilika
Imeelezwa klabu ya Manchester United wamefikia makubaliano na klabu ya Ligi ya Uchina Shandong Luneng juu ya uhamisho wa kiungo Marouane Fellaini.
Kwa mujibu wa taarifa ya BBC, tayari kiungo huyo raia wa Ubelgiji amepita vipimo vya kiafya lakini hijawekwa wazi amehamia Uchina kwa kiasi gani.

Fellaini, 31, alikuwa mchezaji mkubwa wa kwanza aliyesainiwa baada ya enzi ya Sir Alex Ferguson, akijiunga na Manchester Utd kwa kima cha pauni milioni 27.5 mwaka 2013 akitokea Everton.
Fellaini alitia saini kandarasi mpya ya miaka miwili Old Trafford mwezi Juni mwaka jana lakini hajawahi kukubalika na mashabiki wa United licha ya kukonga nyo za mameneja David Moyes, Louis van Gaal na Jose Mourinho.

Hata hivyo, Fellaini amecheza dakika tatu tu kwenye Ligi ya Premia katika mechi saba chini ya kocha wa muda Solskjaer.
Uhamisho wa Fellain kwenda Shandong Luneng wakamilika
Reviewed by Zero Degree
on
2/01/2019 07:10:00 AM
Rating: