Loading...

Orodha ya washindi wa Tuzo za TFF Msimu wa 2023/24


Yanga ilitawala katika usiku wa tuzo zilizotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana, huku ikiahidi kuchukua zote msimu ujao.

Tuzo hizo kwa ajili ya wachezaji na makocha waliofanya vizuri msimu uliopita zilitolewa kwenye Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, huku Aziz Ki akizoa tatu.

Orodha ya waliotwaa tuzo hizo:
  • Aziz Ki - Tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara 2023/2024
  • Ley Matampi (Coastal Union) - Kipa Bora Ligi Kuu Wanaume Tanzania bara.
  • Djigui Diarra (Yanga SC) - Golikipa bora Kombe la Shirikisho la CRDB
  • Caroline (Simba Queens) - Golikipa bora wa Ligi Kuu ya Wanawake.
  • Azizi Ki (Yanga SC) – Mfungaji bora Ligi kuu Wanaume Tanzania bara (Magoli – 21).
  • Clement Mzize (Yanga SC) - Mfungaji bora CRDB Federation Cup (Magoli – 5).
  • Aisha Mnuka (Simba Queens) - Mfungaji Bora Ligi ya Wanawake.
  • Azizi Ki (Yanga SC) - Kiungo Bora Ligi Kuu Wanaume Tanzania Bara.
  • Juma Mgunda (Simba Queens) - Kocha Bora ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara.
  • Miguel Gamondi (Yanga SC) - Kocha Bora ligi Kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
  • Ibrahim Abdullah Bacca (Yanga SC) - Beki Bora wa Ligi Kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
  • Amina Kyando - Mwamuzi Bora Ligi ya Wanawake.
  • Ahmed Arajiga - Mwamuzi Bora Ligi Kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
  • Zawadi Yusuph - Mwamuzi msaidizi bora ligi kuu ya wanawake
  • Mohamed Mkono - Mwamuzi msaidizi bora ligi kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
  • Mbwana Samatta -Mchezaji Bora wa Kiume Wa kulipwa (anayecheza nje ya nchi)
  • Aisha Masaka - Mchezaji Bora wa Kike wa Kulipwa (anayecheja nje ya nchi)
  • Fei Toto (Azam FC) - Mchezaji Bora Kombe la Shirikisho la CRDB
Orodha ya washindi wa Tuzo za TFF Msimu wa 2023/24 Orodha ya washindi wa Tuzo za TFF Msimu wa 2023/24 Reviewed by Zero Degree on 8/02/2024 01:57:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.