Mali za vigogo nchini kuhakikiwa upya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti na Utumishi wa Umma), Angela Kairuki. |
Kiama cha vigogo waliodanganya mali zao kinakuja baada ya Serikali kujipanga kuhakiki utajiri wa viongozi 500 katika mwaka wa fedha wa 2016/17.
Uhakiki ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Awamu ya Tano kupambana na ufisadi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti na Utumishi wa Umma), Angela Kairuki amesema suala hilo limekuja miezi sita baada ya Jaji Salome Kaganda, ambaye ni mwenyekiti wa Sekretarieti ya Maadili ya Umma, kulalamika kuwa kuna mawaziri na manaibu ambao hawajazi fomu za kutangazia mali zao na kutaka waadhibiwe.

Credits: Mwananchi
ZeroDegree.
Mali za vigogo nchini kuhakikiwa upya.
Reviewed by Zero Degree
on
8/18/2016 12:50:00 PM
Rating: