Loading...

Maoni ya Zito Kabwe juu ya pendekezo la MO kwa Simba Sc.


20bn tshs endowment fund for Simba SC ni moja ya pendekezo bora zaidi kutolewa na Mwanamichezo nchini kwetu. Mohamed Dewji anapendekeza kuwa yeye atatoa tshs 20bn na kuziweka kwenye Endowment Fund kisha riba kutumika kuendesha Club. Tutakuwa na club matata sana nchini. Vyuo vikuu vikubwa duniani Kama Harvard vinaendeshwa kwa Mfumo huu anaopendekeza MO. Tukiwa na usimamizi mzuri wa Fedha tutakuwa timu bora kabisa na tutaweza hata kuwa na academy ya Simba Kama ilivyo kwa club kubwa duniani.


Zaidi soma alichoandika kwenye ukurasa wake wa facebook:



ZeroDegree.
Maoni ya Zito Kabwe juu ya pendekezo la MO kwa Simba Sc. Maoni ya Zito Kabwe juu ya pendekezo la MO kwa Simba Sc. Reviewed by Zero Degree on 8/01/2016 11:55:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.