Loading...

Mtihani wa mwisho kwa Mbwana Samatta kucheza ligi ya EUROPA.

Leo Agosti 5, 2016, Shirikisho la Soka Barani Ulaya, UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya Europa League hatua ya makundi ambapo mechi za kwanza zitachezwa Agosti 18 na marudiano itakuwa Agosti 25.

Kwa upande wa Klabu ya KRC Genk ya Ugiriki amayoichezea straika Mtanzania, Mbwana Samatta imepangwa kucheza na klabu ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia na mchezo wa kwanza watacheza ugenini na wakifanikiwa kuitoa timu hiyo ni rasmi Genk itakuwa imefuzu katika hatua ya makundi, Lokomotiva ilimaliza nafasi ya nne Ligi Kuu Croatia msimu 2015/2016.





KRC Genk ya Samatta itakuwa inasubiri droo itakayochezeshwa August 26 Monaco Ufaransana kusubiri itapangwa na vigogo gani hiyo kama itafanikiwa kuitoa Lokomotiva, miongoni mwa vigogo vitakavyoshiriki Europa League ni Man United ambapo wameanza hatua ya makundi moja kwa moja.


RATIBA YA MCHUJO WA MWISHO WA EUROPA LEAGUE KABLA YA HATUA YA MAKUNDI



  • Astana (KAZ) v BATE Borisov (BLR)
  • AEK Larnaca (CYP) v Slovan Liberec (CZE)
  • Arouca (POR) v Olympiacos (GRE) 
  • Dinamo Tbilisi (GEO) v PAOK (GRE)
  • Midtjylland (DEN) v Osmanlıspor (TUR)
  • Austria Wien (AUT) v Rosenborg (NOR) 
  • Trenčín (SVK) v Rapid Wien (AUT) 
  • Beitar Jerusalem (ISR) v Saint-Étienne (FRA) 
  • Lokomotiva Zagreb (CRO) v Genk (BEL) 
  • Vojvodina (SRB) v AZ Alkmaar (NED)
  • Maribor (SVN) v Qäbälä (AZE) 
  • Gent (BEL) v Shkëndija (MKD) 
  • Slavia Praha (CZE) v Anderlecht (BEL) 
  • İstanbul Başakşehir (TUR) v Shakhtar Donetsk (UKR) 
  • Astra Giurgiu (ROU) v West Ham United (ENG)
  • SønderjyskE (DEN) v Sparta Praha (CZE)
  • Fenerbahçe (TUR) v Grasshoppers (SUI) 
  • Sassuolo (ITA) v Crvena zvezda (SRB) 
  • Brøndby (DEN) v Panathinaikos (GRE) 
  • IFK Göteborg (SWE) v Qarabağ (AZE) 
  • Krasnodar (RUS) v Partizani Tirana (ALB)
  • Maccabi Tel-Aviv (ISR) v Hajduk Split (CRO)

ZeroDegree.
Mtihani wa mwisho kwa Mbwana Samatta kucheza ligi ya EUROPA. Mtihani wa mwisho kwa Mbwana Samatta kucheza ligi ya EUROPA. Reviewed by Zero Degree on 8/05/2016 10:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.