Loading...

Ronaldo amtaja mchezaji bora aliyewahi kucheza nae.

Ronaldo De Lima amecheza na wachezaji wengi sana wakali na wameshafanikiwa kushinda mataji mengi sana pamoja. Kwa mashabiki wanaweza kufikiria kwamba ni ngumu sana kwa Ronaldo kumtaja mchezaji gani bora amewai kucheza nae, lakini hilo sio swala la kufikiria kwake.

De Lima akiogea na Claro Sport kwanza amezungumzia kuhusu mshindi wake wa Ballon d’Or, “Kwa mwaka huu kama kumchagua mshindi ningemchagua Ronaldo dhidi ya Messi kutokana na alivyoshinda kwa mwaka huu. Nadhani kwa Ronaldo anatakiwa kumaliza maisha yake ya soka pale pale Real Madrid na kuendelea kufanya kazi pale.”



De Lima akijibu swali la kuhusu mchezaji gani bora aliyewai kucheza nae aliibu hivi,“Zidane ndiye mchezaji bora niliyewai kucheza nae, kama kocha anafanya vizuri sana na ndani ya muda mfupi amepata heshima kutoka kwa wachezaji wake.”


ZeroDegree.
Ronaldo amtaja mchezaji bora aliyewahi kucheza nae. Ronaldo amtaja mchezaji bora aliyewahi kucheza nae. Reviewed by Zero Degree on 11/13/2016 01:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.