Loading...

VIDEO: Usipitwe na video ya wimbo wa msanii Fid Q - 'Kemosabe'

Ijumaa ya January 20 Fareed Kubanda aka Fid Q ameamua naye ameamua kuufunguaa mwaka kwa kuachia video mpya ambayo ameipa jina la Kemosabe ambayo audio yake ilitoka August 13 ambayo ni kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa.


Acha maoni yako mara baada ya kuitazama video hii, itakuwa poa sana hata mwimbaji angependa chochote kuhusu nyimbo yake. USITUKANE PLEASE..!!!


ZeroDegre.
VIDEO: Usipitwe na video ya wimbo wa msanii Fid Q - 'Kemosabe' VIDEO: Usipitwe na video ya wimbo wa msanii Fid Q - 'Kemosabe' Reviewed by Zero Degree on 1/20/2017 04:32:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.