Hizi hapa faida tano (5) za Tangawizi mwilini
TANGAWIZI ni kati ya viungo mahili vinavyochochea ladha nzuri katika vyakula vya aina mbalimbali na hivyo kuwavutia walaji kula chakula husika.
Wakati tangawizi ikiwa inafahamika zaidi kama kiungo, kwa upande mwingine kiungo hicho huweza kupunguza athari za matatizo mbalimbali ya kiafya pia kama ifuatavyo kwenye orodha hii hapa chini:-
Tangawizi pia inapowekwa kwenye vyakula vigumu kama nyama huifanya ilainike na hivyo kuweza kuiva kwa haraka zaidi. Hivyo kwa point hiyo tu kwanza utagundua kiungo hiki pia kinaweza kurahisisha umeng’enyaji wa chakula tumboni pia.
Wakati tangawizi ikiwa inafahamika zaidi kama kiungo, kwa upande mwingine kiungo hicho huweza kupunguza athari za matatizo mbalimbali ya kiafya pia kama ifuatavyo kwenye orodha hii hapa chini:-
- Hupunguza maumivu kwa wanawake wakati wa kipindi cha hedhi (Period)
- Hupunguza maumivu ya mifupa pamoja na misuli kwa ujumla.
- Inaelezwa kwamba Tangawizi husaidia kuimarisha uwezo wa utunzaji wa kumbukumbu kwa binadamu.
- Husaidia kutuliza maumivu ya tumbo pia
- Husifika kwa kuimarisha kinga za mwili na kuufanya mwili kupambana vizuri dhidi ya magonjwa.
Hizi hapa faida tano (5) za Tangawizi mwilini
Reviewed by Zero Degree
on
3/25/2017 11:48:00 PM
Rating: