Loading...

India kusitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini Tanzania

Hospitali ya Apollo India huenda ikasitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini Tanzania kutokana na deni kubwa inayodai.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema hayo jana wakati alipokuwa akizindua bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).

Waziri Ummy amesema Apollo inadai Tanzania kiasi cha shilingi bilioni 30 na kwamba wameshaanza kulipa deni hilo.

“Tulikuwa tunapeleka wagonjwa wengi kufuata matibabu nje ya nchi, tumeanza kulipa deni hilo na tunashukuru idadi imepungua hadi wagonjwa 304 mwaka 2016 kutoka wagonjwa 533 mwaka 2015 sawa na asilimia 45.
India kusitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini Tanzania India kusitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini Tanzania Reviewed by Zero Degree on 3/22/2017 11:27:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.