VIDEO: Habari ya uongo juu ya Rais Donald Trump kumsifia Rais Magufuli yawaponza watangazaji 9 wa TBC
Habari ya uongo iliyoandikwa kwenye tovuti inayojulikana kwa kuandika taarifa za kutunga (satire), imewaponza watangazaji 9 wa kituo cha runinga cha serikali, TBC 1.
Habari hiyo ilitangazwa na TBC kwenye taarifa yao ya usiku mwishoni mwa wiki iliyopita. Watangazaji 9 wamesimamishwa kazi kutokana na kushiriki kuandika na kuitangaza habari hiyo ya uongo.
Hatua hiyo imechukuliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TBC, Ayubu Rioba.
Waliosimamishwa kazi ni pamoja na mtangazaji aliyeisoma habari hiyo, Gabriel Zakaria na wengine ni Elizabeth Mramba, Prudence Constantine, Dorothy Mmari, Ramadhan Mpenda, Leya Mushi, Alpha Wawa, Chunga Ruza na Judica Losai.
Taarifa hiyo ya uongo ilisomeka:

Washington Dc–President Donald John Trump has this evening praised Tanzanian President DR.John Pombe Magufuli for being a good example of African leaders.
While signing a law which will be barring Africans from countries where Presidents are doing nothing and those have declined to leave power, Trump said Magufuli is an example of good leaders in Africa and his country deserves special treatment.
“This law will affect countries like Zimbabwe, Uganda and other African countries where Presidents have declined to leave power doing nothing. Tanzania is not one of them since my namesake there President John Magufuli is doing a wonderful job. Actually Magufuli should be used as a good example but his neighbor Museveni should be used whenever bad example is needed.” Said Trump.
According to Trump, Tanzanians will not be restricted going to US and they will enjoy special treatment courtesy of President Magufuli.
However, Trump congratulated President Magufuli for his leadership. “Congratulations my namesake John Magufuli, you are the African hero.” Remarked President Trump.
VIDEO: Habari ya uongo juu ya Rais Donald Trump kumsifia Rais Magufuli yawaponza watangazaji 9 wa TBC
Reviewed by Zero Degree
on
3/14/2017 01:01:00 PM
Rating: