Loading...

Jeshi la polisi limetoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu huu wa sikukuu ya Pasaka

Jeshi la polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu huu wa Sikuu ya Pasaka kuhusiana na suala zima la ulinzi na usalama wa mali zao huku likisema kuwa kuna baadhi ya watu hutumia sikukuu hizi kufanya vitendo vya uhalifu hasa wizi wa kutumia silaha, wizi wa magari, utapeli na vitendo vingine.

Hii ni taarifa yake:


Jeshi la polisi limetoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu huu wa sikukuu ya Pasaka Jeshi la polisi limetoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu huu wa sikukuu ya Pasaka Reviewed by Zero Degree on 4/13/2017 07:45:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.