Loading...

VIDEO: Bahati x Rayvanny - Nikumbushe [Official Music Video]

Mkali wa muziki wa Bongofleva kutoka WCB, Rayvanny na muimbaji wa Gospel kutoka nchini Kenya Bahati tarehe 4, April 2017 waliachia video mpya ya wimbo wao mpya ‘Nikumbushe’.

Itazame video hiyo hapo chini, usisahau pia kuacha 'comment' au maoni yako hapo chini kuhusiana na wimbo huo. MATUSI HAYARUHUSIWI!!

VIDEO: Bahati x Rayvanny - Nikumbushe [Official Music Video] VIDEO: Bahati x Rayvanny - Nikumbushe [Official Music Video] Reviewed by Zero Degree on 4/05/2017 01:52:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.