Bara la Afrika limepewa nafasi 9 kwenye Kombe la Dunia mwaka 2026
- FIFA yapitisha ongezeko la timu kombe la dunia, ,,hivi ndivyo jinsi mfumo wa timu 48 utakavyokua
- FIFA yaidhinisha kuwepo kwa timu 48 kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2026
- FIFA kuongeza idadi ya nchi zinazoshiriki Kombe la Dunia hadi kufikia nchi 48
- Shirikisho la Soka Duniani [FIFA] kuiondoa Uingereza katika kombe la dunia 2018.
- Kombe la dunia lilichangia mimba zaidi Afrika Kusini
- Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia
Hatua hiyo ilithibitishwa siku ya Jumanne mjini Bahrain. Kwa sasa bara hilo lina nafasi 5 pekee.
Taifa la kumi la Afrika litashiriki katika mchuano wa muondoano utakaojumuisha mataifa sita ili kuamua kuhusu nafasi mbili.
Baraza la Fifa lilipendekeza vile litakavyotoa nafasi hizo 48 mnamo tarehe 30 mwezi Machi.
Kinyang'anyiro hicho kipya kitashirikisha timu 16 kutoka Ulaya.
Wanachama wa Fifa walipiga kura mnamo mwezi Januari kuongeza timu zitakazoshiriki kutoka 32 hadi 48 kuanzia dimba la mwaka 2026.
Taifa la kumi la Afrika litashiriki katika mchuano wa muondoano utakaojumuisha mataifa sita ili kuamua kuhusu nafasi mbili.
Baraza la Fifa lilipendekeza vile litakavyotoa nafasi hizo 48 mnamo tarehe 30 mwezi Machi.
Kinyang'anyiro hicho kipya kitashirikisha timu 16 kutoka Ulaya.
Wanachama wa Fifa walipiga kura mnamo mwezi Januari kuongeza timu zitakazoshiriki kutoka 32 hadi 48 kuanzia dimba la mwaka 2026.
Bara la Afrika limepewa nafasi 9 kwenye Kombe la Dunia mwaka 2026
Reviewed by Zero Degree
on
5/11/2017 03:53:00 PM
Rating: