Manchester United yakamilisha usajili wa Victor Lindelof kwa pauni milioni 31
- Mfahamu Victor Lindelof anayetarajiwa kutua Manchester United.
- Fellaini aomba kuondoka Manchester United.
Lindelof, ambaye ameichezea nchi yake mara 12 anatarajiwa kushiriki mechi ya kirafiki nchini Norway siku ya Jumanne
Mchezaji huyo mwenye maiak 22 ambaye amekuwa akiichezea Benfica tangu mwaka 2012 atakuwa mchezaji wa kwanza kusainiwa na Man U msimu huu.
Lindelof alicheza mara 47 klabu hiyo ya Ureno msimu uliopita.
Manchester United yakamilisha usajili wa Victor Lindelof kwa pauni milioni 31
Reviewed by Zero Degree
on
6/11/2017 05:09:00 PM
Rating: