Loading...

Video: Nay wa Mitego akimshirikisha Rich Mavoko – 'Acheze'


Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego baada ya kufanya vizuri na wimbo Moto, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Acheze’ akiwa amemshirikisha Rich Mavoko kutoka WCB. Audio imeandaliwa na Osam na Abbah na video imeongozwa na Deo Abel.


Video: Nay wa Mitego akimshirikisha Rich Mavoko – 'Acheze' Video:  Nay wa Mitego akimshirikisha Rich Mavoko – 'Acheze' Reviewed by Zero Degree on 8/11/2017 09:46:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.