Utafiti: Huyu hapa ndege mwenye akili nyingi zaidi duniani.
Jarida la kisayansi liitwalo "Animal Cognition" (Utambuzi wa Wanyama) limechapisha makala ya kitafiti inayoonesha kuwa kuku wana tabia zao binafsi na za peke yao, ambazo aina nyengine ya ndege na wanyama hawana.
Kwa mujibu wa utafiti huo, kuku wana uwezo wa kutaniana na kufanyiana ujanja wenyewe kwa wenyewe. Wanaweza pia kuwatambua watoto wa binaadamu hadi miaka saba na wakiwa nao huwatendea tafauti na watu wazima.
Mama mwenye vifaranga ana uwezo wa kuwahesabu watoto wake na kujuwa idadi yao tangu siku wanayoanguliwa, na anaendelea kujuwa kila mmoja anapotoweka.

Hakika kuku wanaozungumziwa hapa ni wale wanaokuwa katika misingi ya kawaida yaani wale kuku wa kienyeji.
Utafiti: Huyu hapa ndege mwenye akili nyingi zaidi duniani.
Reviewed by Zero Degree
on
10/04/2017 01:41:00 PM
Rating: