Loading...

Itazame video ya ngoma mpya ya Mr Blue - 'Mbwa Koko'


Rapa mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva Kherry Sameer Rajab alimaarufu kama Mr. Blue ametusogezea video ya wimbo wake mpya 'Mbwa koko' ambao umetengeneza chini ya Producer T Touchez na video imeongozwa na director Eddy.

Katika wimbo huu Mr Blue amewazungumzia wasanii kibao akiwepo Alikiba, Kassim Mganga, Said Karoli na wasanii wengine wengi

Kuitazama bofya hapo chini:


Itazame video ya ngoma mpya ya Mr Blue - 'Mbwa Koko' Itazame video ya ngoma mpya ya Mr Blue - 'Mbwa Koko' Reviewed by Zero Degree on 1/21/2018 12:52:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.