Serikali yapiga marufuku uuzaji wa mazao mashambani
Hayo yamebainishwa leo Mei 07, 2018 Bungeni Jijini Dodoma kwenye kikao cha 23 mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa na kusema kuwa ili kutatua tatizo hilo serikali inaanda mfumo maalumu ambao utatumika katika kuuza mazao kwa soko huria ili kuepusha hasara kwa wakulima.
Kwa habari kamili msikilize hapa chini Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa akitolea ufafanuzi zaidi juu ya suala hilo la uuzaji wa mazao nchini
"Uimarishwaji wa vyama vya msingi vya ushirika na vyama vikuu vya ushirika ili kupitia vyama hivyo wakulima waweze kuuza mazao yao na kujihakikisha soko la mavuno yao. Serikali itasimamia uzwaji wa mazao ya wakulima kwa njia ya minada ili kuweka li kuweka ushindani wa bei na kumuwezesha mkulima kupata bei kubwa kama ilivyo katika zao la korosho", amesema Dkt. Mwanjelwa.
Kwa habari kamili msikilize hapa chini Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa akitolea ufafanuzi zaidi juu ya suala hilo la uuzaji wa mazao nchini
Serikali yapiga marufuku uuzaji wa mazao mashambani
Reviewed by Zero Degree
on
5/07/2018 12:35:00 PM
Rating: