Loading...

Singida United yanasa straika kutoka Brazil


Uongozi wa klabu ya Singida United imewatambulisha rasmi wachezaji wake watatu waliyo wasajili kwaajili ya michuano mbali mbali inayoikabili timu hiyo changa iliyopanda daraja msimu uliopita.

Wachezaji waliotambulishwa leo hii siku ya Alhamisi ni mshambuliaji raia wa Brazili, Felipe Olveira do Santos , Amara Diaby raia wa Ivory Coast pamoja na Tiba John George anaetokea klabu ya Ndanda FC.


Wachezaji hao wametangazwa jijini Arusha wakati, Tiba John kutoka Ndanda FC akisaini kandarasi ya miaka mitatu, Mbrazili, Do Santos na Muivory Coast, Amara Diaby wakitokea klabu ya Asec Mimosa ya nchini Ivory Coast.


Singida United yanasa straika kutoka Brazil Singida United yanasa straika kutoka Brazil Reviewed by Zero Degree on 5/31/2018 05:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.