Loading...

Henry aanza rasmi kazi ya kuiwinda Strasbourg


THIERRY Henry juzi alianza mazoezi yake ya kwanza na Monaco, ikiwa ni siku chache tu baada ya kutangazwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.

Gwiji huyo wa Arsenal, ambaye ni mchezaji wa zamani wa Monaco, amechukua nafasi ya Leonardo Jardim aliyetimuliwa klabuni hapo baada ya kikosi hicho kuwa katika hatari ya kushuka daraja.

Huku kukiwa na mchezo dhidi ya Strasbourg Jumamosi, Mfaransa huyo ililazimika haraka aanze mazoezi na kikosi hicho kinachosuasua msimu huu.
Henry aanza rasmi kazi ya kuiwinda Strasbourg Henry aanza rasmi kazi ya kuiwinda Strasbourg Reviewed by Zero Degree on 10/17/2018 12:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.