Arsenal wamepanda hadi nafasi ya nne kwenye jedwali baada ya kutoka nyuma na kuwalaza Leicester City 3-1 Jumatatu. Manchester United waliwalaza Everton 2-1 na kupunguza mwanya kati yao na klabu nne za kwanza kuwa alama tano pekee. Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, EPL