Kaka amng'ata sikio Neymar Jr
Kaka alikuwa mmoja wa wachezaji wenye uwezo wa pekee, ambao watakumbukwa katika historia ya mpira wa miguu kwa ufundi wake wa hali ya juu na uwezo wa kuwasaidi wachezaji wenzake kuibuka kidedea katika michezo migumu.
Baada ya kuwa na wakati mzuri akiwa na klabu za AC Milan pamoja na Real Madrid, shujaa huyo kutoka Brazil Kaka sasa amezungumza kuhusu 'future' ya nyota mwenzake anayechezea klabu ya Paris Saint-Germain Neymar, ambaye alikuwa kwenye vichwa vya habari kwenye majira hayao ya joto.
Uvumi uliodai kuwa nyota huyo angeweza kurejea Barcelona ulififia kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili barani Ulaya kufungwa Septemba 2, straika huyo mwenye umri wa miaka 27 pia alikuwa akihusishwa na uhamisho kwenda kwa wapinzani wao wa jadi Real Madrid. Neymar aliweka wazi kwamba alihitaji kuondoka Ufaransa arejee Uhispania, ingawa Kaka sasa anaamini kwamba anatakiwa kutuliza akili na kuelekeza nguvu zake zote kuisaidia klabu yake ya mjini Paris kushinda mataji.
“Kila mtu anataka kutoa ushauri wa aina yoyote juu ya maisha yake,” alisema Kaka. “Bado ana miaka 27 tu, watu wengi wenye umri waka wake huwa wana wafanya makosa na kujirekebisha baada muda.”
“Kwa yeye (Neymar), nafikiri ni bora akasalia Paris Saint-Germain kwa sasa,” Kaka alitioa maoni. Nafikiri ni vizuri kwake yeye na kwa klabu. Nafikiri mara nyingi Paris Saint-Germain huwa wanajaribu kutengeza timu kubwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya, hivyo anaweza kuwa kiongozi kwa mkakati huu na kwa maoni yangu, inaweza kuwa mpango mzuri. Itakuwa mwaka mzuri kwake.”
“Ninachoamini kwamba anakikosa Neymar kukamilisha kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia ni kupata mafanikio makubwa akiwa na timu yake,” alisema. “Wakati atakapokamilisha hili, kuwa kiongozi katika mafanikio haya na ana nafasi ya kufanya hivyo, nina uhakika Neymar atachakuliwa kutangazwa kuwa mchezaji bora wa dunia.”

Kaka |
Maoni ya Kaka na ushauri wake vinaweza kuwa na faida, hata kwa Neymar. Baada ya yote, Kaka alijitwalia sifa kubwa kubwa mwaka 2007 wakati alipotajwa kuwa mchezaji bora wa FIFA na kujinyakulia tuzo ya Ballon d’Or baada ya kushinda kombe la Ligi ya Mabingwa akiwa na AC Milan.
Kaka amng'ata sikio Neymar Jr
Reviewed by Zero Degree
on
9/24/2019 08:05:00 AM
Rating: