Loading...

Baada ya Zlatan kufumgiwa mechi 3 na FA, Tyrone Mings [Bournemouth] naye apigwa 'stop' mechi 5

Mchezaji wa klabu ya Bournemouth, Tyrone Mings amefungiwa na chama cha soka cha Uingereza FA, mechi 5 kwa vitendo vya utovu wa nidhamu alivyoonesha kwenye mchezo wa jumamosi iliyopita dhidi ya Man United.

Mchezaji huyo,23, alimkanyaga Zlatan Ibrahimovic kichwani muda mchache kabla ya kipindi cha mapumziko lakini waaamuzi walishindwa kuona.

Klabu ya Bournemouth wamesema hawajafurahishwa na maamuzi hayo yaliyo tolewa na FA.
Baada ya Zlatan kufumgiwa mechi 3 na FA, Tyrone Mings [Bournemouth] naye apigwa 'stop' mechi 5 Baada ya Zlatan kufumgiwa mechi 3 na FA, Tyrone Mings [Bournemouth] naye apigwa 'stop' mechi 5 Reviewed by Zero Degree on 3/09/2017 01:44:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.