Loading...

Upinzani nchini DRC wapinga uteuzi wa waziri mkuu mpya

Muungano mkuu wa upinzani unaoongozwa na Felix Tshisekedi mtoto wa aliyekuwa upande wa upinzani Etienne Tshisekedi , umeomba jumuia za kimataifa kuitisha mazungmzo tena kati ya wanasiasa na kanisa katoliki nchini DRC baada ya kusitishwa.

Muungano huo unapinga kuteuliwa kwa waziri mkuu ambae siyo chaguo lao jambo wanalosema linakiuka makubalino yalifanywa Dec baina ya serikali na upinzani.

Uteuzi huo wa waziri mkuu umeugawanya Zaidi upinzani huku upande mmoja sasa ukidai Rais kabila ndiye kizuizi cha juhudi za kutafuta amani ya kudumu nchini humo , Hii ni taarifa ya Mbelechi Msoshi.
Upinzani nchini DRC wapinga uteuzi wa waziri mkuu mpya Upinzani nchini DRC wapinga uteuzi wa waziri mkuu mpya Reviewed by Zero Degree on 4/10/2017 10:02:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.