Loading...

Video: Wimbo wa msanii kutoka Rwanda, Buravan akimshirikisha AY - 'Just a Dance'

Video nyingine mpya za hivi karibuni ni pamoja na hii ya collabo ambayo ameshirikishwa mkongwe kwenye muziki wa hip-hop kutoka Tanzania, AY na msanii Buravan kutoka nchini Rwanda. Wimbo unaitwa ‘Just a Dance’ ambao umetayarishwa na producer Pastor P.


Video: Wimbo wa msanii kutoka Rwanda, Buravan akimshirikisha AY - 'Just a Dance' Video: Wimbo wa msanii kutoka Rwanda, Buravan akimshirikisha AY - 'Just a Dance' Reviewed by Zero Degree on 5/28/2017 06:48:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.