Loading...

Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 22


MTUNZI: MC Short Charles Gwimo

Ilipoishia.........Nilimuaga madam kwa kumrushia busu la hewani ambalo naye alilirudisha kwa mtindo wa hewani. Nilitoka ofisini mwake nikiwa mwepesi kama vile kishada au tiara iliyoko hewani. Tabasamu halikubanduka usoni jambo ambalo kila mtu alitaka kujua ni kipi kilinipata kutoka kwa madam kwani waliomuona mwalimu Kishoto akizamia ndani mithili ya faru dume aliyejeruhiwa. Kwa kuogopa kuchukuliwa maelezo zaidi, niliwadanganya kuwa nimetubia madhambi yangu na kusamehewa. Nilijipenyeza hadi kwa rafiki yangu na kumpa moja ya masazo ya chips na kuku. Nilimuhadithia kila kitu isipokuwa lile la kulishwa tunda na madam. Sikumuweka bayana ili kumlindia heshima madam wangu aliyegekuaka kuwa mpenzi wangu.

Endelea nayo: Maisha ya shule hayakuwa magumu sana kwa upande wangu kama ilivyokuwa hapo awali. Nilianza kubadilika sura mithili ya kusawirika kwa muonekano mpya zaidi. Kutokana na umbile langu la asili, niliendelea kuwa kivutio cha magashi wengi wa pale shuleni kwetu na nje ya shule kwa ujumla. Kitaaluma sikuwa mbumbumbu mzungu wa reli bali nilikuwa kinara wa masomo yote darasani. Nilijivunia kuwa na ueledi mkubwa kama huo. Wakati wengine wakiendelea kusawijika kwa hali mbaya ya kiuchumi, ukata huo uliniogopa kama vile una uadui na mimi. Kiburi change cha ukwasi kilisababishwa na pesa nilizokuwa nikihongwa na madam Linda au Mama Sukari wangu aliyenilevya kwa vyote yaani pesa na mapenzi. Kiukweli nilikuwa tishio kubwa hapo shuleni kwa wajihi na mkwanja. Kwani niliweza kuvaa aina zote za nguo kuanzia zile za mitumba mpaka za dukani kama vile mashati ya Juliana, majinzi aina ya savco hadi suruali zile za kadeti zenye nembo ya Tokyo.

********

Wakati wengine tukiendelea kutesa kwa mikwanja mizito na watoto wa kishua kama vile madam Linda, Fauzia na kina Shamia kuna wenzangu na mimi ambao walikuwa watupu kuanzia kwenye ngwenje hadi kwenye mipapaso. Hawa walionekana wapweke sana ndani na nje ya shule kwa kuikosa ile ile tamu isiyoisha hamu ambayo hailiwi wala kuchezewa mbele za watoto. Kundi hilo ndilo lililonifanya nigundue sababu ya mabafu kuteleza kila siku mithili ya mlenda uliomwagwa kwenye sakafu. Kundi hili ni miongoni mwa makundi yaliyojiathiri kisaikolojia kwa kitendo cha kuupanda mnazi kwa mkono mmoja. Mara nyingi hutumia kipande cha sabuni kuifanikisha adhima yao ya kuuparamia mnazi. Kitendo hicho hujulikana ka punyeto au kujipuna. Kiufupi punyeto ni ile hali ya kufanya mapenzi kwa kumuwazia msichana aliye mbali kwa kuamini kuwa tendo hilo linaendelea kwa wahusika kuwa pamoja kumbe ni mwanaume kujisugua tupu yake ili afikie kilele cha mnazi. Kutokana na wahisika kufanya hivyo mabafuni, kulikuwa na msongamano wa mabaki ya sabuni na mbegu mfu yaliyogandamana kwa mtindo wa kulenduka kitendo kilichokuwa kikisababisha wanafunzi wengi kupata ajali za kuteguka viungo vya mwili kutokana na kuteleza huko mabafuni kitendo ambacho nisawa na kufumaniwa kwa mapenzi.


********

Kundi linguine ambalo lilikuwa kwenye hali mbaya zaidi ni lile ambalo lilikuwa linawajumuisha mabasha. Kundi hili liligawanyika katika makundi mawili ambayo ni pamoja na lile ambalo mabasha hugeuzana kwa makubaliano na la pili ni lile ambalo wanyonge hutendewa ufirauni huo kwa mabavu. Ingawa nilikuwa kidato cha chini, ufirauni kama huo haukuwahi kunigusa kwani nililindwa na wababe wa shule na msaada kutoka kwa madam Linda na isingelikuwa hivyo naamini na mimi ningekuwa miongoni mwa wanafunzi walioliwa kiboga pasina hiari yao. Mtindo huo wakuliwa kiboga bila uhiari wa mtu mara nyingi ulifanywa na viongozi wa madarasa ya juu kwa vijana wa vidato vya chini kwa kuwapa adhabu kubwa ili wakishindwa wajilegezee suruali zao kata kei wenyewe. Tabia hizi za uafande kwa wakubwa kuwala wadogo zilitekelezwa sana na viranja ambao walichaguliwa kutoka madarasa ya kidata cha tano na sita na mbabe ndiye aliyenusurika kwa hilo. Kwa ufupi ni kwamba, tabia hizi za kubinuana hapo shuleni zililetwa na wanafunzi waliohamishiwa shuleni kwetu wakitokea shule ya Sekondari ya Tambaza iliyofungwa na kuondolewa kwa wanafunzi wa vidato vya chini yaani O-Level kwa utovu wa nidhamu na uharibifu wa mali za shule. Uonevu wanafunzi wa vidato vya chini hasa kwa vijana wa kidato cha kwanza ulikuwa kama ndio desturi kwa shule zote za Sekondari kwa wavulana na wasichana hapoa Tanzania kwa shule za bweni. Binafsi mpaka leo huwa ninahisi kama vile ule ulikuwa ni moja ya mitaala katika shule za sekondari za bweni ingawa haukuwa rasmi. Kusema hivyo ni kwamba, siku moja jamaa yangu tofauti na Mood alipewa adhabu na kiranja wa zamu ambayo ilikuwa kama hivi;


********

“Utachimba kifusi, ujaze kuanzia hapa mpaka palee. Umenielewaa?” Alisema kilanza wa zamu huku akiondokwa kwa mikogo ya madaha na kumuacha pale. Alipogeuka nyuma akakuta jamaa bado anaitafakari adhabu hiyo ambayo hata mfungwa wa gereza la mbigiri huko Morogoro haikumfaa. Kiranja yule alimuambia, “Kama huwezi sema usaidiwe.” Jamaa hakumuelewa nini maana ya neno asaidiwe kumbe neno asaidiwe lilikuwa na maana ya kulegeza suruali aliwe kiboga ili asemehewe adhabu ya kuchimba kifusi. Jamaa alipelekwa stoo iliyokuwa ikitunziwa magodoro ya wanafunzi ambayo ilikuwa nje kidogo na mazingira ya ofisi kisha akabanwa kwa nguvu na kuingiliwa kinyume na maumbile pasina ridhaa yake. Alijikuta ametoa kile kiranja alichokitaka baada ya vuta nikuvute huku akiwa hana namna ya kukwepa. Kiranja huyo fedhuli alitumia kilainisho cha mafuta ya mawese. Jamaa alinihadithia kwa uchungu huku akinisisitiza nisimueleze mtu yoyote kadhia hiyo ya aibu iliyonikuta.


********

Hayo ndiyo madhila yaliyokuwa yakiwakumba wanafunzi wengi wa shule za sekondari za bweni. Licha ya madhila kama hayo, pia vijana wa kidato cha kwanza walisilimishwa majina ya ajabu ajabu yasiyo na mvuto kama vile nyonya, misukule, popo na mengine mengi kulingana na shule husika. Hapa ndipo ilipotokea misemo kama vile hakuna utamu pasina jasho, mvumilivu hula mbivu na mizizi ya elimu ni michungu mno lakini matunda yake ni matamu sana. Hivyo ndivyo maisha ya shule yalivyokuwa enzi hizo za utawala wa mzee ruksa kwa nchi hii ya wadanganyika kwa wanafunzi wa bweni. Hayo ndiyo yaliyokuwa maisha ya wanafunzi tuliokuwa tukisomea shule za sekondari za bweni. Tofauti na madhila hayo ya shule wengi walijipatia ahueni mara baada ya kupata likizo kwani watoto wa kike wa enzi hizo za kipindi cha utawala wa mzee wa ruksa waliwahusudu sana vijana wa kiume walioko masomoni hasa wanapotajiwa kuwa wapenzi.

====>>Itaendelea Ijumaa...

Usiikose SEHEMU YA 23>>> ya Riwaya hii ifikapo siku ya Ijumaa ijayo, na utaipata hapa Zero Degree pekee.
Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 22 Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 22 Reviewed by Zero Degree on 8/14/2017 01:42:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.