Loading...

Matokeo ya michezo ya kimataifa ya kirafiki


Michezo ya kimataifa ya kirafiki imechezwa usiku wa kuamkia leo katika viwanja tofuti Uholanzi wameibuka na ushindi wa bao 1 -0 dhidi ya Scotland, mshambuliaji Memphis Depay akifunga goli hilo.

Romania wakataka mbele ya Uturuki kwa kuwafunga kwa mabao 2-0 magoli yote mawili ya Romania yalifungwa na kiungo Gheorghe Grozav.

Luxembourg wakicheza nyumbani wameibuka kidedea kwa kuwafunga Hungary kwa magoli 2-1, Aurelien Joachim ndie aliyeanza kuwapatika Luxembourg goli kwa kuongoza katika dakika ya 15 ya mchezo.

Katika dakika ya 18 Hungary wakasawazisha goli hilo kupitia kwa Nemanja Nikolic, zikiwa zimesalia dakika tisa mchezo kumlizika Marvin Santos akaongeza bao la pili kwa upande wa Luxembourg

Matokeo mengine ya michezo hiyo ya kimataifa ya kirafiki ni:
  • Cambodia 1 - 2 Myanmar
  • Singapore 0 - 1 Lebanon
  • Hong Kong 0 - 2 Bahrain
  • Armenia 4 - 1 Belarus
  • Finland 3 - 0 Estonia
  • Panama 1 - 2 Iran
  • Romania 2-0 Uturuki
  • Iran 2-1 Panama
  • Soctland 0-1 Uholanzi
  • Luxembourg 2-1 Hungary
Matokeo ya michezo ya kimataifa ya kirafiki Matokeo ya michezo ya kimataifa ya kirafiki Reviewed by Zero Degree on 11/10/2017 09:08:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.