Mwalimu apandishwa kizimbani kwa kubaka wanafunzi 9
Akisomewa mashitaka hayo ya ubakaji katika kesi ya jinai namba 682/2017 mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Tarime, Amon Kahimba, Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Inspekta Saumu Ngoma alidai kuwa mtuhumiwa Mariba alitenda makosa hayo kati ya ubakaji kwa nyakati tofauti kwa wanafunzi wake wa darasa la kwanza na la pili kati ya Agosti na Novemba mwaka huu 2017.
Mwendesha mashitaka alidai kuwa, wanafunzi hao wa kike chini ya miaka 10 ambao majina yamehifadhiwa walibakwa na mwalimu huyo kwa nyakati tofauti wakati wakiwa maeneo ya shule hiyo kwenye nyumba za walimu. Alidai mwalimu alikuwa akiwatuma na kisha wanapokuwa ndani ya nyumba alikuwa akitenda kosa hilo.
Mwendesha mashitaka alidai kuwa, wanafunzi hao wa kike chini ya miaka 10 ambao majina yamehifadhiwa walibakwa na mwalimu huyo kwa nyakati tofauti wakati wakiwa maeneo ya shule hiyo kwenye nyumba za walimu. Alidai mwalimu alikuwa akiwatuma na kisha wanapokuwa ndani ya nyumba alikuwa akitenda kosa hilo.
Mwalimu apandishwa kizimbani kwa kubaka wanafunzi 9
Reviewed by Zero Degree
on
12/13/2017 05:49:00 PM
Rating: