Katibu Mkuu wa UN amuonya Rais Nkurunziza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres |
Katibu Mkuu Guterres amesema, upinzani na mashirika ya kiraia ni lazima yashirikishwe kwenye maamuzi yoyote ya kubadili Katiba ili kuzuia uwezekano wa nchi hiyo kutumbukia kwenye mzozo zaidi.
Ameongeza kuwa, anatambua Burundi kama nchi inayo mamlaka ya kujiamulia mambo yake kama taifa huru lakini akaonya kuwa jambo la kubadili Katiba linahitaji maridhiano ya pande zote.
Wakati huo huo muungano wa wanasiasa wa upinzani walio uhamishoni nje ya nchi CNARED unaendelea kulaani jaribio lolote la kubadili Katiba, ukibaini kwamba hali hiyo utaitumbukiza Burundi katika machafuko, zaidi ya yale yaliyotokea tangu mwaka 1993 hadi 2004.

Reviewed by Zero Degree
on
2/09/2018 04:39:00 PM
Rating: