Rais wa Myanmar, Htin Kyaw amejiuzulu
Kiongozi wa Myanmar mwenye mamlaka, Aung Suu kyi na rais wa taifa hilo, Htin Kyaw kulia |
Htin Kyaw alliapishwa kuwa rais 2016 baada ya uchaguzi uliositisha miongo kadhaa ya uongozi wa kijeshi.
Lakini alikuwa kiongozi asiye na mamlaka huku aliyekuwa kiongozi wa upinzani wa muda mrefu Aung San Suu Kyi akiwa kiongozi mwenye mamlaka.
Taarifa iliochapishwa katika mtandao wa facebook wa rais huyo ilisema kuwa Htin alitaka kupumzika.
Makamu wa rais Myint Swe , jenerali wa zamani atakuwa kaimu rais hadi pale rais mpya atakapochaguliwa katika muda wa siku saba sijazo, taarifa hiyo ilisema.
Bi Suu Kyi, ambaye alifungwa kwa miaka kadhaa chini ya uongozi wa kijeshi wa Junta alipigwa marufuku kuchukua wadhfa huo.
Kipengee cha katiba kilichotengezwa ili kuhakikisha achukui wadhfa huo kinasema kuwa hakuna raia mwenye watoto kutoka nje anaweza kuwa rais.
Alikuwa na watoto wawili na mumewe raia wa Uingereza.
Htin Kyaw alikuwa rafikiye wa utotoni na mshauri wake wa zamnai na wakati mwengine dereva. Alionekana kuwa mtulivu na mtu alimuamini sana.

Reviewed by Zero Degree
on
3/21/2018 12:40:00 PM
Rating: