Loading...

Upinzani nchini Kenya watangaza kuahirisha sherehe za kumuapisha Raila Odinga

Raila Odinga
Umoja wa Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA), umetangaza kuahirishwa kwa sherehe za kumuapisha kiongozi mkuu wa umoja huo, Raila Odinga na Stephen Kalonzo Musyoka, kama Rais na Makamu wake wa Jamhuri ya Kenya.

Katika taarifa iliyotolewa jana na Muungano huo siku ya jana imeelezwa kuwa imeahirisha sherehe hizo hadi itakapotangazwa tarehe hapo baadae.



Upinzani nchini Kenya watangaza kuahirisha sherehe za kumuapisha Raila Odinga Upinzani nchini Kenya watangaza kuahirisha sherehe za kumuapisha Raila Odinga Reviewed by Zero Degree on 12/11/2017 03:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.